Lakini ushago wanakuanga tu na dunia yao 😅. Unaenda kubuy unga kwa duka, shopkeeper anakwambia “nimebakisha moja, siwezi uza shelf ibaki ivo” 😂 Hakuna haraka, hakuna pressure — ni vibes tu. Which type of business is this 🤔