LANYARDS:
Beshte yangu alienda conference aka-notice officials hawana tag ya kuwa-identify.
So aki chat na host wa hiyo conference, aka point out hiyo anomaly.
Kimchezomchezo huyo host akamshow atamkanja 15,000 ka deposit, aki-promise ataleta lanyards kadhaa kesho yake.
Beshte yangu mbiooo akampigia msee wake wa Cyber aanze job. Alipofika home, alitafuta tu hizo beaded neck ribbons na ku-attach kwa hizo tags.
Next day, huyooo...akapeana hizo lanyards much to the surprise of the event host. The host alikuwa surprised, beshte yangu hakumwangusha!
Hivyo ndio alipata hiyo tender.
The rest they say is history!
Business idea simple, capital kidogo na faida kubwa!
0
0
0