
Last month niko na mabeste wangu kadhaa walinyoroshwa na Amazon worker pia Cashway, nilicheck msee aki loose that little savings juu ya get rich quick scheme. Hii imekuwa issue for sometime, every season uji brand na kukuja na tactics mpya na noma zaidi.
Which scam had convinced you, you'll become a millionaire then vitu zikaenda higgledy-piggledy? 😂 (Me QuestNet na Deci😂)
0
0
0