
Last Wednesday of the month! 🚀 Na kama kawaida, tuko ndani ya #MESHMarketDay! 🎉 Share kwa comments na community #Biz unafanya na pia skills na interests zako & your next customer, supplier, client au pia employer anaweza kua hapa💯 Even better, hii ni opportunity ya ku-build networks zako na like-minded MESHers! 🙌🏿
#SisiNiMESH #Tujengane

0
0
0