
Last week kuna msee amekam akabuysha takeaway fruit salad by bad luck kuna avocado ilikuwa mbaya ndani so time alirudi akiwa ameweka ilibidi ninyenyekee to a point ya kuinamisha kichwa to show it was my fault. Pia my all time customer aliniambia "keep change"to show appreciation,i had to 🙏🙏 manzee
0
0
0