
🙏Last week, tulipoteza one of our own.
⭐MESHER Jackson Mulinge Wambua ali-pass away.
Jackson alikua msee wa nguvu na aliishi na spirit ya Tujijenge.
Tulijuana na yeye through Shujaaz na alikua one of the top distributors.
Alikua na biz successful ya kinyozi na pia mentor kwa ma-youths.
Alikua always ready ku-share knowledge na other MESHERS.
Tutam-miss sana.
Through video courses zake, wisdom yake ita-live on hapa MESH!
🙏Let's honor him by following him in his footsteps: Tujijenge.

0
0
0