
Last week tulisema unaweza loan government pesa, sio kuchukua loan kila saa
In other words kuinvest in government bonds.
Unaweza taka kulearn about investment gani ingine?
Mention hapo kwa comments, hii post ikipata 20 comments tutacover each investment option mentioned in the comments.
Twende kazi....

0
0
0