💡Last year, kwa sessions za Jenga Na Deloitte tuli-learn topics mob sana.
💪Share kitu 1 uli-learn na una-apply saa hii kwa biz. Ina-work?
🤔Alafu tushow kwa comments topics uko interested nazo hii 2024.