
Last year mvua imekubali kabisa huku kwetu. Tumekula na bado tunaendelea kuvuna variety of cereals, #ThankGod for the rains 😊.
Sasa kuna hii idea ilinicross mind; buying hizi cereals i.e greengrams, beans, cowpeas, maize and black beans from the farmers then niweke dawa, and wait for like three months niko positive zitashoot bei. Niuze hiyo wakati Sasa!
How is the idea #Farmers in the house?
#AgriBiz

0
0
0