
Last year wakati wa covid biz kuna vile ilikuwa down tu Sana juu ya wasee kuwork from home wengine walikuwa around but hawana pesa so biz ilikuwa down Sana. But saa hii nimeamua biz yangu naiongezea mambo ingine apart from my main biz. Naipiga boost kiasi at least niwe na different biz at the same place #SisiNiMesh
0
0
0