Lately Wasee wengi wamelia kuhusu PayPal buana, accounts za watu huko zinakua frozen with funds ndani jamani. Has anyone of you been affected? Na kuna mtu yeyote ako na alternative way ya kupokea foreign currencies?