
Latest Hustle Alert!
Vipi Meshers I hope mko fiti na hustle zenu pia?
Pia Mimi nmekuwa hapa kule nkipiga shughli zote bora keja inuke kitunguu.
Lately nko Muthurwa soko sector ya nyanya.
Kwa wale wako around Jiji na mngetaka supplier wa nyanya inajiuza.
Reach me via 0798786797.



0
0
0