
Leo kwa hii Community yetu we are featuring one of our own, Mr. Kivaya!
Niaje wenzangu? Mi naitwa Kivaya. Nimekuwa kwa biz ya Computer & Cyber Services for sometime now. Shop yangu ya kwanza ilikuwa Mtito-Andei then tuka expand Emali ,Sultan-Hamud na Voi. Hizi towns siezi complain Bizna ime-pick poa sana. Pia nilijaribu Loitokitok lakini ilikataa ku-pick after 4 months ikabidi nika-drop.
Hii hustle imeniwezesha ku-create opportunity and knowledge kwa ma arif wangu kadhaa and kuwa na long relationship nawao. Wao ndio wamekuwa wakinishika mkono kwa side hustle zengine mimi hu-do kama content creation and campaigns. Wamenifunza importance ya ku-keep close friends na vile wanaeza kukuokolea kwa biz. Niko na ka-home studio pia kenye mimi najaribu ku explore my music.
Mimi leo nimeamuaa ku-spend time MESH kujibu wasee maswali yeyote kuhusu hustle yangu. You can also check out my YouTube channel @Kivaya na Profile yangu hapa MESH #Kivaya.
Twende kazi tuchapiane hapa kwa comments tujengane!