
Leo mbogi itakusifu venye uko na madem wengi, Madem wenzako wakushow vile wana Machali wengi wa pesa na vile huwa wanawaSpoil
But kesho ni Mama yako atakusifu pale hospitali vile umemaliza uji kikombe moja bila kutapikaš„
Wacha peer pressure, watu wagonjwa hapa njee na hawasemi...
Wacha tubonge reality na jaribu Ku fikiria sana sana vi deep kuhusu hii picha... Think deeper on it na u reflect what are.
Tuishi kwa Ubinadamu kama wangwana.
0
0
0