Leo nadai msee ako na swali lolote kuhusu hustle yangu ya fruit vending akam through,, niko ready na majibu kibao,,, hii ni hustle ingine safi sana once imekukubali