
Leo nadai tubonge kuhusu hizi #StudentLoans na vile zinasaidia tukiwa pale campo. Kama ushaichukua hii #HELB lets talk about how ilikuhelp ukiwa stude, vile ulilipa or still making payments na pia, kama haujalipa plan yako ni gani.
#Loans #ComradesPower #Mesh4Life #SisiNiMesh

0
0
0