
Leo nataka kubongesha kila youth anataka kuGive up na anasoma hii. Life inaweza kaa hard sana na udhani you are going through the worse. As long as you are still breathing just know that God amekupa nafasi ingine ya kuMake it in life. Do something na ueke God first, if you don't do anything huwezi fanikiwa. Hakuna pesa chafu hii dunia, fanya anything bora usiibe, utafanikiwa.
0
0
0