
Leo nataka kuongelee hire purchase. Najua hii term iliacha kutumiwa sana and these days sisi husema lipa mdogo mdogo.
Usually huainakaa like a good deal ya kubuy vitu expensive, but is it really a good deal? Unajua kuna times you can even pay 3 times the original price?
Kwanza siku hizi watu wanabuy boda na daily payments.... Hio pia ni hire purchase.
When really should you use this type of credit? Ushawai nunua kitu then ukalipa mdogo ndogo?

0
0
0