Leo nataka kuwachanua, in the spirit of savings, nataka kukusaidia kusave cooking gas.
Kwa wale wanatumia gas na ile alloy stand (ya mguu tatu ya kuweka sufuria), leo nataka u observe kitu. The distance beween the burner flame na sufuria. Kama you have to use more gas for the flame to reach the bottom of the sufuria(hence more gas noise), then know that hiyo ni trick ya gas sellers kukufanya umalize gas haraka.
Sasa solution ni simple, punguza height ya hiyo stand. Tafuta hacksaw, penye hiyo stand inaguza gas cylinder, measure the width of the hack and cut the burner there, do this for all the stand legs and thank me later. Moto kidogo, upishi haraka, gas italast sana.
0
0
0