
Leo nawashow kuhusu idea ya kulisha rabbit au sunguch.First sungura ni mnyama rahisi kulisha hahitaji space mob na pia hauhitajiki kudig in Kwa mfuko sana kabla afike maturity.Alafu nyama ya sunguch ni tamu na sai venye watu wengi Wana implications za life style diseases nyama ya sunguch ni moja ya zenye wanadvisiwa kula.


0
0
0