
Leo ndani ya #MESHMentors🙌 host wetu wa nguvu @[Captain Ashok] atapata chance ya kubonga na #MESHers kwa hii Community yetu wenye wako into #Biashara ya #Photograhy na #Videography 📸🎥. Atachapiana na @[Wycliffe Okello] na @[Bee Hum] wenye wamekua wakichapa hii #Biz ndio tupate kujua more kuhusu hustle yao. From kuanza biz to challenges na possible solutions! 💯
Comment na maswali kuhusu hii #Hustle alafu tupatane 2pm Sharp⏰ kuchambua hii maneno! 💪💪
0
0
0