
Leo ni 13TH FRIDAY; Day ukuwa considered kama unlucky day.
This reminds me, mimi ukuwa na superstition ya kama your first client, in the morning, especially on Monday, hatabuy ama ku promote your biz, hio week nzima biz itakuwa tafash.
What are those superstition wewe ukuwa nazo kwa biz yako and ukuwa na real repercussions kweli?

0
0
0