Leo ni kama God ako na mimi...naingia having nafungua shop na customer anaingia anabeba 5 seater semi recliner 👇👇👇hii hapa...."kama unafanya biz yoyote ama umeajiriwa put God first "..meanwhile bado kuna zingine Kol ama WhatsApp 0769693568. Tuko Kahawa wendani along Thika super highway. Karibuni
0
0
0