
Leo ni Leo!! 2PM sharp tutakua live na special edition ya #MESHKonnect. Leo tunabonga na #MESHers wawili vile walijengwa na MESH na capital ya Ksh 10, 000 na vile wataitumia ku-run #Biz zao ππ
Captain wetu @[Captain Ashok] π―ana host @[Kastar Mutua- Hillary] na @Owiti Alice na tunabonga juu ya;
- CBC ni expensive but ni #Biz opportunity kali.
- #Challenges na #Solutionskwa Biz.
- Vile unafaa ku #Manage & #Maintain customers.
- Marketing Biashara yako.
Tune in usipitwe na ideas ππ
#FormNiKujengana π¦Ύπ¦Ύ #MESH4Life
0
0
0