
Leo ni leo π₯π₯yule wa kusema kesho ni mwongo π π
Welcome to Brian's Health Corner πππππ₯ππ leo ndio ile day tumekuwa tukiwait for the whole week π·π·π·
like we had agreed π― leo tuchanuane kuhusu hii plant inaitwa #Aloevera hii ni plant π΅π΅ yenye iko na both negative and positive impacts kwa msee depending on the variety yenye unatumiaπ΅ so leo nadai kushow zile #positive inpacts then Wewe utatuchapia the #negative impacts zenye unajuaπ π twende naloπ―π―
- Hii plant π΅ huweza kudetox na kuosha body ya msee completely bila any additive as long as umechemsa na kunywa hio soup yakeππ
- Msee unadai kukata wait π€π€do not tense,,,usiende zoezi ama jim hii plant π΅ itakusaidia kupunguza mafuta π―π―
- Wale wasee wenye hulia kila time ety wana #stomach Ulcers,,,, you gat no reason to worry,,chemsha hii stem ya #aloevera kunywa malizana na story za stomach ulcers
- Maybe umekuwa na a very busy day ama weekππ don't mind Aloe Vera soup will calm down your fatigue and reduce your headaches π―π―π΅
- Madem wetu as usual siwezi waachanisha nyumbaπ π did you know that #aloe Vera gel helps your skin to remain smooth and young like neverπ€ don't go for chemicals use natural #gel for a natural beauty πππ
there's are more than #enough benefits but get contented with that for today ππ
Keep it locked every Wednesday at Brian's Health Corner ππππ see you soon


0
0
0