Leo ni siku ya tbt wadau So lets go back tukiwa watoi Ni biz gani ulikuwa unaona ukigrow utafanya na ikuingizie doo fiti?
Share hizo memories kwa comment section, msee anaweza pata biz idea from your tbt