
Leo ni siku ya World Environment. Je! unajua some of the food tunakula zinachangia kwa uharibifu wa mazingara?
Unaeza change that through hizi steps za ku lessen the environmental toll through your diet.
š± Unaeza support sustainable agriculture; most if not all of your ordinary mama Mboga produce zina lie kwa hii category. š± Unaeza plant your own garden. Tips on this angalia group ya AgriBiz hapa Mesh š± Punguza food waste kwa kujipanga and ku buy food yenye unajua utaitumia. š± Buy kiondo ndio upunguze unnecessary food packaging time umeenda shopping.
Nimesahau something? Please changia kwa comment section sababu Environmental conservation ni collective responsibility yetu sote.

0
0
0