LEO NIKO NA GOOD NEWS!! Niajeni watu wa power watu wa Nguvu. Hope mnajituma proper na biz inawapeleka fiti. Leo nataka nishikanishe wasee wamekuwa wakitaka kuanza biz ya clothing ama wako na biz ya clothing ama botique. Labda uko hapo umekuwa ukistruggle na sales na pia uko willing kutry new fashion ideas. . Ama umekuwa ukistruggle kupata consistent supplier wa clothing na new fashion kwa market. Usiworry, tuko hapa ju yako. Nataka niwapeleke na rada ya Imperial wear manze ni wasee wako reliable kama unadeal na maprinted t-shirts ivi ama uko willing kuanza. Wameleta new fashion yenye wasee wengi wanarelate nayo, so hakuna mambo ya kusema ati kumekauka ati wasee hawanunui. Zi, hakuna kukaa sana ni kukuja zikiendanga kwa customer. Quality iko guaranteed, ni heavy cotton na comfortable cutomer akivaa ivi anafeel comfortable. Pia delivery wanafanya countrywide as long as gari hufika mtaa yenu. To cut the story short wacha niwashikanishe na plug. Tunahope God atakuwa na nyinyi na ishikilie biz zenu.
Namba ya Plugree: +254713278506 (pia wahatasaap )



