Leo nimeingia kwa duka nikapata mtu akinunua physical airtime… nikashtuka vibaya 🤯 Alafu akalipa na M-Pesa 😂😂 si hii ni kama kuandika barua halafu uitume na WhatsApp. Meshers, do people still buy these airtime cards willingly ama ni nostalgia? Ju profit yake ni kama ya kuuza karanga moja moja 😭 Unauza 100 bob, unabaki na coins za kufungua soda. Hii biz iko hai ama ni artefact ya museum? 🏛️ Wewe kama uko na shop, bado unaziweka ama ulisema RIP airtime scratch cards?
0
0
0