
Leo nimeingia kwa restaurant nikiwa na mood ya "big boy moves"—nikakunywa chai, nikawapatia 500 bob nikasema, "Keep the change!" Wakanicheki juu chini wakasema, "Boss, ongeza 250 ndio tu-keep hiyo mchezo!"
Hata ile chai ilianza kunitazama kama haijaniamini. How bad is the economy guys !! Yaani Ksh 500 haiwezi tosha breakfast na nipatiane tip kama boss who I am 😂😂
0
0
0