Leo nimejaribu nka cook ugali asubuhi 7am nkakula. Ju Huwa naambiwa ukila ugali utafanya kazi sawa sawa. Sai 6.25pm sijakula kituππ. Huwa mna servive aje na ugali wenye Huwa mnakula morning hoursπππ.
0