Leo nimekuwa down kidogo nikifikiria Mahalia nitatoa pesa za kujikimu kimaisha pamoja na family yangu.Nikatembea ile place inaitwa city park sokoni.Nimeona kumbe mtu hawezi lala njaa.Nimetoa ndoo 4 zaa minji(peas) na nikalipwa at least Leo family itakula nyama supper.Kuna njia mingi za kupata pesa ukitafuta aibu tu ndio utaweka kwa mfuko ndio uweze kuchapa kazi...anybody can go and try this hustle.Good luck
0
0
0