
Leo ningependa kila msee akuwe open tuchapiane venye online business imetupeleka. Experience yangu. 2 yrs ago I was willing kuwa independent so nikapata beshte akanijenga na form ya online biz. Sema kudanganywa eti nitamarket hoods zangu kwa hiyo platform. Kumbe ni reffaral program. Unalipa 5k then ukipata beshte ajoin alipe 5k, unapewa commission ya 2k. Hapo ndo ubeshte iliishia 😂😂😂 Be keen na uelewe platform b4 you join.
0
0
0