Leo nipewa gig, nikaifanya fiti kabusaa, Sasa imefika place ya kulipisha nimeshindwa kabisaa, 😅😅
Nyinyi huwa mna lipisha aje according to the IT job done ?