
Leo one of our active members, #AngelaWavai ako na stori exciting sana.
Vipi members wenzangu. Mi naitwa Angela Wavai. Am a #GospelArtist nimekua nikifanya poa lakini wakati Covid-19 pandemic iliingia Kenya, Biz iliisha kabisa since churches zilifungwa na mikutano yote in general ikakua banned.
I had to think outside the box nitafute hustle ingine. I moved from my comfort zone nikaenda town mpya place inaitwa Kathonzweni nikafungua a mini-shop ya kuuza stuff tofauti. I realized kuna shida ya maji so nika-expand nikaanza kuuza drinking water. Guess what? Biz ime-pick niko na customers wengi sana. I start supplying maji kwa hotels from 4am by 11am nimekafunga.
Free advice, in life pesa haitajiandika imetoka kwa hustle gani. Chapa works and pray God for guidance. Am willing to help fellow members hapa MESH struggling na hustles zao. Tuchapiane hapa kwa comments I will answer every question. Always feel free to reach hapa MESH.