Leo tuambieni vile wasee wakinyozi wa base yenyu huawana osha(maintain) hiyo shaving machine ndio watu wasisambaziane mashilingi na dandruff. Tuchanuane hapo Kwa comment section 👇 #ShaveItKinyozi