
Leo tubonge juu ya relationships na mapero zetu.
Kwa #ShujaazSTRA, Makena ana-struggle sana kuishi na mamake. Matha yake anataka ku-pimp Stacy(siz ya Makena) for money. Makena hataki hii stori ifanyikie siz yake juu yeye alipitia the same thing. Inabidi Makena afanye matha yake apelekwe Mathare, but Stacy hajabambika na hii stori.
Ushaijipata kwa situation kama hii? Tuchapiane..Ndo hiyo link apo down,,
https://youtu.be/4Rupd9DMVFM
0
0
0