
Leo #Tujengane Fellow Mesher What is that simple yet very important skill/hack yenye unaeza jenga community yetu nayo. Mimi ningepanda kufunza wasee kuhusu https://www.canva.com/ Sio kila biz inaeza afford graphic designer and sio kila msee ako na graphic design knowledge yet kila business huitaji marketing ikuwa na good outlook. Hapa ndio Canva comes in. Iko na so many free templetes zenye kila msee anaweza edit vile anataka and ni vey first. Like the very pic posted here.
Share na sisi another hack ama trick yenye inaeza saidi biz #Tujinge

0
0
0