
Leo tunafanya check ya Ma-studeh๐ง๐พโ๐๐จโ๐ hapa MESH, wapi mikono juuโโ <Tujitambulishe na hii emoji โkwa comments>
Mi naitwa @[Rachael Gatundu] na nimekua niki-get ideas vile tunaeza inuana tukirudi ma-chuo soon. Niko na idea!
Juh most of the youths ni mastudeh in different Universities na colleges, unaeza anza biz ya kuuza nguo time huna class... Unatafuta nguo alafu unazungusha kwa hostels at affordable prices...plus you have to consider the type of clothes mastudeh hupenda
Any more ideas - tujengane jameni!
0
0
0