
Leo tunaskia story ya @[Justus Babz]. Yeye ni MESHer wa nguvu sana na ako na #Biz ya restaurant as well as ya kufuga kuku. Skia story yake!! Form yetu hapa MESH ni kujijenga kama community na kushare ideas za kugrow biz zetu na talanta zetu. 💪💪
Thanks for MESHing and have a wonderful weekend. Stay focused. 💯 #BiasharaWeekends #WeekendMotivation #TeamMESH
0
0
0