Can poor Sanitation 🗑️ affect Your biashara 🤷🏽♀️?
Kama kuna kitu floods zimetufundisha hapa Nrb ni, itabidi tuzingatie usafi kama wakenya/ wafanyibiashara.
Kuna soko bigi hapa Nrb. CBD-Muthurwa inajulikana for its cheap and quality goods lakini watu hu-avoid juu ya uchafu, burst-up sewer pipes wakti wa mvua, footbridge chafu na insecurity ya hali ya juu...
So, imagine uchafu ndio inazuia customers kukufikia... heri cutsomers waende Gikomba au Toi yet Muthurwa is easily accessible hapa tu CBD and has everything a shopper needs 🍓🍑 🍌 🥬 🍏... what's more it boasts of a huge Matatu 🚎🚌🚐 Terminus na iko nxt to Marikiti, one if the largest Food Markets in Kenya.
Katika County yenu, how is the state of your market?
Does it have clean, ablution blocks?
Is there clean, running 💦 water(water points 🚰)?
Does it have adequate waste disposal units?
How about drainage systems, ziko fiti?
Tuchapie hapo chini kwa comment section below, we'd love to hear from you ⬇️⬇️⬇️