
Leo tuongelelee watu wa kiosk.....kuna vitu mob shopkeeper anafai kuconsider kwa business ya kiosk
For example
1.Stock yenye anauza eg sweets ,sugar,flour hizi ni examples za food items
2.suppliers wenye wata supply stock yako eg bread , and the duration watakua wanasupply depending on demand.
3.means of payment eg cash ,mpesa ,
4 location depending on the audience
5.competition from other kiosk ili ukue na strategy ya kukua exceptional 💯
6.business expansion juu kila mtu udai kuexpand business akiona inampea mapato poa.
Tuchapiane kwa comments more tips za biashara ya kiosk
0
0
0