
Leo wacha niwachanue my fellow chefs. Najua hamjuangi kuna varieties za Masala ata wewe unaeza jitengenezea yako. Basically Masala hukua mix ya spices tu. For example Pilau masala hukua na Cumin seeds, Black pepper, Cinnamon, Cardamoms na Cloves. Kuna other types kama:- š Tea Masala š Chicken Masala š Pilau Masala š Garam Masala We unajua other type? Ama hua unajitengezea your own masala?



0
0
0