Leo weather imekataa niaješ„¹. Anyway,kujieni juice fresh and natural hapa kambi ya mwanza along kakamega webuye road m-stay away from hosi now that sha inaeza kufanyia ile kitu