
Lessons nime learn hii time ya Corona.
Corana ilinihit hard ju I lost my job and sikuwa na saving culture. I also had my boutique yenye ndio Niko hadi sahii, inaitwa "Half Landon Stores" iko Mombasa Bamburi. Nili experience challenges juu one stream ya income ilikuwa imekatika. So I started by joining chama. Chama ni poa ju inakukeep on toes and disciplined in terms of spending cash. Pia Ukipata pesa inasaidia kuongeza stock ya biz. Resolution yangu ya 2022 ni kujoin table banking where I will be saving 500 per week hadi Mwaka iishe.
0
0
0