
LETS HELP A MESHER 🤗
hello, Mena anafai kuanza biashara ya house hold items
eg plastic items kama basins,buckets,racks etc
utensils haswa vyombo za cheaper prices.. na ameambiwa the best place kuzipick ni kamukunji.and yet she does not know where specifically.
mtu anajua vichochoro kindly amshow na the best dealers wa hizo vitu ata kama ni wewe eg phone numbers na locations specifically.
0
0
0