
Lets take a walk in the #life of a real hunter🫵🫵
msee ako employed mahali, ako na biz yake flani mtaa ako na temporary side hustles kama mbili👏
Na vile hii economy inakaa huyu msee bado anaplan kufungua another short term biz ya seasonal fruits🤔
Leo kwa #Sema Ikutoke 💯 wewe uko na sources ngapi za #income 😱 tuchapiane hapo kwa comment section 💪

0
0
0