Life ni hard.
Biashara? Harder. 😅
Kuna siku sales haziko.
Bills zinasubiri.
Customers wamekaa kimya.
Na bado landlord hataki stories. 😮💨
Nimeona story ya Thee Pluto akisema amefunga biashara 7 na bado akaendelea.
Hapo ndipo entrepreneurship ilinishika.
Si kwamba business haitafail.
Inaweza.
Lakini usikubali biashara moja ikufanye uamini umefail kama entrepreneur.
Kesho unafungua tena.
Unajaribu tena.
Hiyo nayo ni part ya biashara. 🤝
0
0
0