Life ni kuhustle to make the future shine moreso kwa youth kama mimi. Ni kuanza tu mdogo mdogo hadi one day nitafaulu kwa biz. Osha mkono na uvae mask anytime you want to serve your customer.