
🔥 light at the end of the tunnel 💪🔥
"Kenya the capital of Africa ☺️" ni joke common sana kwa online forum's , Kenyans ukuwa vibrant na vocal online, tunajua kuchocha inch yetu and the fact that Kenyans ukuwa creative, na wameiva skills kadhaa hii ukuwa factor muhimu kwa foreign investors wenye wanadai kuanza investments hapa💯 ,
💡Kwa hizi ongoing bilateral talks za trade USA gov't has vowed to make Kenya a better place to attract investors Africa,
💡With big players like elon musk (start-link) already here ,hii ni positive news kwa Kenyans at large, juu hii itasaindia kucreate employment na gov't itaeza kucollect revenue mob , na wapunguze tax burden kwa mwananchi Kaisi 💯
💡 Ofcourse hii development itatake some time juu kuna other bureaucracies along the way , but you can stay positive that in the next 5 to 15 yrs kunaeza kuwa na rapid economic growth, nyenye wewe kama msee wa biz unaeza leverage and make your business stand out 💪💯
💡Ni practice poa kama msee wa biz kukuwa na long term plans za biz yako , na factors kama hizi ni muhimu kuconsider , acha biz yako istand out with the current trends na vision poa to plan for the future 💪
❣️keep pushing and stay positive, for we don't know what future holds 💪🙏
